Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
HahahahahaaaaHahahahahaha.
Nahisi siku hiyo mitoko ya kuazima ndo itachukua nafasi
Gari,shati mpka pafyum MTU atagongea ili kuficha,,,,,,)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaaHahahahahaha.
Nahisi siku hiyo mitoko ya kuazima ndo itachukua nafasi
Gari,shati mpka pafyum MTU atagongea ili kuficha,,,,,,)
Wengi sana tu, labda nikikuona ndio nitathibitisha ukweli.Wengi kina nani hao wanaonijua hivyo?
Unakutana na ka @Mwifa kafupii kama Stive NyerereHa ha haaaa hiyo siku ntachekaaa hadi nipoteze fahamu aiseeeh
Waongo hao. Mi nguo navaa size 10 nakuaje kibonge sasa.Wengi sana tu, labda nikikuona ndio nitathibitisha ukweli.
Theory/law lazima iwe na verification, sasa hapa bado ni theory na hatufakiwi kuibadilisha hadi tufanye verification
Upo...??[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sasa nitaamini vipi bila kufanya verification?Waongo hao. Mi nguo navaa size 10 nakuaje kibonge sasa.
HahahahahaaaaaaaUnakutana na ka @Mwifa kafupii kama Stive Nyerere
Ndo hiyo siku tukikutana utaamini.Sasa nitaamini vipi bila kufanya verification?
Scientific prove inahtajika hapa
Mmmmhhh.Ndo hiyo siku tukikutana utaamini.
Haya njoo tuproveMmmmhhh.
Bora tuprove sasa hivi ili kuepusha balaa linaloweza kuja kujitokeza
Karibu sanaHaya njoo tuprove
Unikumbuke mkuuMkipanga tarehe ya party mnitag jamani
Hebu weka pichagaiiiii mbona wengine tuna sura za babu na pasi juu wacha kutusingizia
Usiwaze askari wanguUnikumbuke mkuu