Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Jamani mimi sina Gari, Nyumba wala Kazi msije kuniumbua bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari nitoe wapi mie napambana na mwendokasi na bajajiWe una gari ngapi
Mbona najulikana nilidisco chuo first year.Una shahada ngapi
Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
Mbona mimi naish kwa dada yanguSi kweli jaman mbona me naishi chumba kimoja
Leo ni tarehe 1/3/2018 saa 00:05 .Aaah,sio leo jioni???[emoji15]
NambaTumetofautiana
Nitxt whatsapp simu nilipoteza
Hakuna shida mkuuWewe itabidi siku tuonane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani me haonwi?Nakumbuka kuna uzi alisema ye ni Me. Bado unataka kumuona?
Sawa mkuu hakuna shidaWewe tuonane
Mualiko wake haukua wa kuonana na me [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani me haonwi?
Kwa hyo unaona kumiliki demu mkali ndo maisha mkuu kweli?Kasoro mimi. Naishi chumba kimoja. Sina hata baisikrli, sina kazi ila namiliki demu mkali ile mbya.