juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
waliukuta na wakauendeleza na ndio maana unaendelea,so acha ubishani wa kutotumia akiliHIP HOP ni maisha halisi ya kila siku. Siyo muziki pekee. Isitoshe WEUSI pamoja na Kubanda wamekuta muziki wa Hip Hop na unadunda,hata waondoke Hip Hop itaendelea kuwepo na daima itadumu.
Si wameiga kwa wamarekani,hivyo tanzania tutakua tumewaachia wamarekani hip hop yao[emoji12]Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki
Sasa ambaye hatumii akili Kati yangu mm na wewe nani? Unasema kabisa wameukuta na wameuendeleza,kwan wao ndo wenye hatimiliki ya muziki wa HIP HOP kiasi kwamba wakiacha ndo bas!? Tumia akili,usitake kulazimisha kila mtu afikiri jinsi unavyotakawaliukuta na wakauendeleza na ndio maana unaendelea,so acha ubishani wa kutotumia akili
Fikiria kama wao wasingendeleza je unadhani tungekuwa tunasikiliza tu miziki ya zamani?? Hapo ninaamaanisha muziki wa hip hop ungestuck.na kama wao wataacha means utastuckSasa ambaye hatumii akili Kati yangu mm na wewe nani? Unasema kabisa wameukuta na wameuendeleza,kwan wao ndo wenye hatimiliki ya muziki wa HIP HOP kiasi kwamba wakiacha ndo bas!? Tumia akili,usitake kulazimisha kila mtu afikiri jinsi unavyotaka
Hivi kufanya hiphop ni kufanya nini labda kwa mfano?Joh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua tuu!
ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile
Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana dhamira nyingi za Hip Hop
mkuu swali lako limeshaulizwa na kujibiwa kwenye nyuzi nyingi humu....pitia pitia utapata majibu mengi ya kuridhisha humuHivi kufanya hiphop ni kufanya nini labda kwa mfano?
Nusu nusu, Gere, Baba nan... vile bado unasema weusi wanafanya Hip-hop Ni bora ungesema tamaduni na Stamina badala ya weusiJoh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua tuu!
ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile
Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana dhamira nyingi za Hip Hop
Kuna tatizo kubwa kichwani mwako,,hujui maana ya hip hop,umekariri ukidhani hip hop ni kurap kwa nguvu kama fid q.naomba ukamtafute msanii anaitwa Warren G ,sikiliza Rap yake harafu utanielewa,,na anaitwa ni mwanahip hop.au msanii anaitwa Nelly usikariri bobJoh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua.
ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile
Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana misingi ya Hip Hop inayoeleweka!
Sasa Nusu suruale nusu bob marley oleeelee oleeee hio nayo ni hip hop? hapo hana tofauti na lil wayne katika uimbaji wa vitu visivyoeleweka..Joh Makini wa 2006- Hao hawezi fanana na huyu anaeimba vitu visivyoeleweka...kimsingi yupo more commercial....mpaka kilimanjaro music awards walisanda wakatoa kipengele cha nyimbo za injili...,,,,"na waimbaji wa dini pia wanatunzwa na wanaotengeneza bia...Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki
Kuna tatizo kubwa kichwani mwako,,hujui maana ya hip hop,umekariri ukidhani hip hop ni kurap kwa nguvu kama fid q.naomba ukamtafute msanii anaitwa Warren G ,sikiliza Rap yake harafu utanielewa,,na anaitwa ni mwanahip hop.au msanii anaitwa Nelly usikariri bob