Siku WEUSI na FID Q wakibadilika basi ndio itakuwa mwisho wa Hip hop ya bongo

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki
 
HIP HOP ni maisha halisi ya kila siku. Siyo muziki pekee. Isitoshe WEUSI pamoja na Kubanda wamekuta muziki wa Hip Hop na unadunda,hata waondoke Hip Hop itaendelea kuwepo na daima itadumu.
 
waliukuta na wakauendeleza na ndio maana unaendelea,so acha ubishani wa kutotumia akili
 
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki
Si wameiga kwa wamarekani,hivyo tanzania tutakua tumewaachia wamarekani hip hop yao[emoji12]
 
waliukuta na wakauendeleza na ndio maana unaendelea,so acha ubishani wa kutotumia akili
Sasa ambaye hatumii akili Kati yangu mm na wewe nani? Unasema kabisa wameukuta na wameuendeleza,kwan wao ndo wenye hatimiliki ya muziki wa HIP HOP kiasi kwamba wakiacha ndo bas!? Tumia akili,usitake kulazimisha kila mtu afikiri jinsi unavyotaka
 
Fikiria kama wao wasingendeleza je unadhani tungekuwa tunasikiliza tu miziki ya zamani?? Hapo ninaamaanisha muziki wa hip hop ungestuck.na kama wao wataacha means utastuck
 
Tatizo wabongo wengi hawapendi miziki migumuuuu (Hip-hop ) always wanapenda vitu laini. We nani kakwambia eti wa TZ wanataka kuumiza kichwa kuidadafua mistari ya Hip-hop?

Nenda club utaniambia
 
Joh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua.

ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile

Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana misingi ya Hip Hop inayoeleweka!
 
They arr not the only one.... we have young blood.
 
Joh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua tuu!

ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile

Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana dhamira nyingi za Hip Hop
Hivi kufanya hiphop ni kufanya nini labda kwa mfano?
 
Joh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua tuu!

ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile

Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana dhamira nyingi za Hip Hop
Nusu nusu, Gere, Baba nan... vile bado unasema weusi wanafanya Hip-hop Ni bora ungesema tamaduni na Stamina badala ya weusi
 
Joh Makini weusi wameshabadilika muda tu labda hujagundua.

ukisema weusi wanafanya Hip Hop binafsi nashangaa sijui ni aina gani ya Hip Hop ile

Angalau Fid ana "keep it real"
"Tamaduni" na "Watengwa" pia wana misingi ya Hip Hop inayoeleweka!
Kuna tatizo kubwa kichwani mwako,,hujui maana ya hip hop,umekariri ukidhani hip hop ni kurap kwa nguvu kama fid q.naomba ukamtafute msanii anaitwa Warren G ,sikiliza Rap yake harafu utanielewa,,na anaitwa ni mwanahip hop.au msanii anaitwa Nelly usikariri bob
 
Huu ubishani wa hip hop waga haunaga majibu nashukuru nimekua siku hizi nasikiliza roots n reggae...stage ambayo kila fan wa hiphop at some point katika ukuaji wake atapitia
 
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki
Sasa Nusu suruale nusu bob marley oleeelee oleeee hio nayo ni hip hop? hapo hana tofauti na lil wayne katika uimbaji wa vitu visivyoeleweka..Joh Makini wa 2006- Hao hawezi fanana na huyu anaeimba vitu visivyoeleweka...kimsingi yupo more commercial....mpaka kilimanjaro music awards walisanda wakatoa kipengele cha nyimbo za injili...,,,,"na waimbaji wa dini pia wanatunzwa na wanaotengeneza bia...
 
Labda nkuulize swali dogo.. unahisi Joh makin anafaa kuwa emcee?
 
Kuna tatizo kubwa kichwani mwako,,hujui maana ya hip hop,umekariri ukidhani hip hop ni kurap kwa nguvu kama fid q.naomba ukamtafute msanii anaitwa Warren G ,sikiliza Rap yake harafu utanielewa,,na anaitwa ni mwanahip hop.au msanii anaitwa Nelly usikariri bob

Kwanza hakuna "harafu" ni halafu

Pili umeshasema nina tatizo kubwa kichwani then unaniomba nikawatafute hao nitawezaje??!
 
Back
Top Bottom