juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa nawaza itakuwaje siku Joh makini,Nikki wa pili na fid q wakiamua na wao kubadilika na kuanza kuimba miziki isiyoelezeka ni aina gani ya muziki.hawa wasanii wanafanya hip hop na ndio wasanii pekee waliosalia tunaowategemea.wasanii kama jay moe,huwa hatuwategemei maana wanatoa nyimbo kwa msimu,tumaomba waungwana msibadilike na kuacha huu muziki tutapata tabu sana mashabiki