Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #181
Naomba unilime 😎
Naomba unilime 😎
Yupo anaenifata.Chezea tamu wewe 😂
View attachment 3629259
Mwambie realMamy akupe mdogo wake mmoja wa kitanga, utaimba hadi za jay melody na bado utaona mashairi hayatoshei kuelezea huba lako 😂!
Kila zama na zama zake 😎Kasie Kama kasie Matata.
Ndugu waandishi wa habari!Naomba nije pm 😎
Sawa bwashee kaa kwa kutulia hivyo hivyoBwashee ukishapiga vitu ngoma lako hapa JF linapiga sana lbd kesho utakuwa sawa
N ndoto yangu kuwa na mwanamke mtanga, let's make it plz 😎Ndugu waandishi wa habari!
Kama tunavojua nchi yetu ni ya kidemokrasia.😜
Kwa hiyo naomba uongelee hapa hapa.
Kila mtu asome 😅
Wacha weeeh 🤭😅 utammwagisha maji baadaye 💦 au unamchosha tu bila sababu?Najiandaa kucheki weldi kapu na mshangazi wa kizungu 😅
View attachment 3629293
Tule pombeKumbe hadi mimi huwa namisiwa nisipoandika humu!
Itakua amekuelewa
kunipoteza tena 🤔
View attachment 3629269
Kibonge😅😅Wacha weeeh 🤭😅 utammwagisha maji baadaye 💦 au unamchosha tu bila sababu?
Mbona kama nateseka ma mtu😅😅😅
Bado hujasema 🤣🤣🤣Mbona kama nateseka ma mtu😅😅😅
Karibu tule 😅Bado hujasema 🤣🤣🤣
Kwani ulikuwa bado hujampata hata mmoja.N ndoto yangu kuwa na mwanamke mtanga, let's make it plz 😎
Hapana ila huwa nasikia sikia kwamba raisi wao ni dronedrake na wana members wa kudumu kama Mbaga Jr😀😀😀 Mkuu kwani unawafahamu ?
Legeza kamba upate bahati nawewe au wataka kwenda katoroNdugu waandishi wa habari!
Kama tunavojua nchi yetu ni ya kidemokrasia.😜
Kwa hiyo naomba uongelee hapa hapa.
Kila mtu asome 😅
Nilikuwa nasubir h momentsKwani ulikuwa bado hujampata hata mmoja.
Umechelewa wapi kupikiwa uji wa Nazi Boss?