Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Karibu upate fumbatoHatuna kituo maalum tunahama hama tu
Karibu upate fumbatoHatuna kituo maalum tunahama hama tu
Kweli 😅Mh hata Lagertha mwenyewe aliteswa na Ragnar hadi akaaga mashindano, mapenzi yanatesa si uongo.
Mahaba ya ki kitanga yalivyo matamu, najua atawehuka tu, kuna uncle wangu aliacha mpaka kazi miezi sita akafungiwa ndani mpaka akiba yote ilivyoisha.Kama hawezi kuogeshwa ndani ya beseni kama mtoto mchanga asije Tanga 😝.
Kwanza tuna Visosi maalumu kwa ajili ya kuwekea Kende 🙆😜wakati wa kumuogesha.
Zinatulia hapo Ili zioshwe taratibu sana na kufutwa vizuri na taulo safi.
Na hivo Visosi vipo vya Kila size, inategemea tu umekujaje na size Yako😅🙏.
Nije pm?Karibu 😊
Hmm ndio msogeleane vilee🤔Hahaha kwa nini , nacheki mpira tu hapa wala hanihusu huyo ni uhalifu tu🤣
Sio kweli sihusiki mamnyang'odeHmm ndio msogeleane vilee🤔
Nikajua ga ni visa vya kweli kumbe ni hadithi aisee!Kuandika na masimulizi ni moja ya vitu vinavyonifurahisha,
Kaka Elli, kwema?Nikajua ga ni visa vya kweli kumbe ni hadithi aisee!
Aiyumkini wewe unaeza kuta ni mwenzetu .
Mbona umeuliza kwa hisia hivyo? kuna element za wivu au ni ile hali yetu tu 😂😂Hmm ndio msogeleane vilee🤔
Sawa ba mnyogodeSio kweli sihusiki mamnyang'ode
Nimekasirika sijasogelewa vile yapata muongo mmoja sasa! Halafu kuna viumbe vinasogeleana tu kiholela😏Mbona umeuliza kwa hisia hivyo? kuna element za wivu au ni ile hali yetu tu 😂😂
Kwema, Alhamdulillah.Kaka Elli, kwema?
Ni visa vya kweli, je, nikija humu kusimulia vinakua siyo masimulizi? au inabidi niitaje?
Kila nikiandika lazima useme hivi, kwanini?Kama ni kweli chumvi imekuwa nyingi mno aisee!
Poleni sana jamani, nawaombea na nyinyi mpate vipoozeo.Yatima wa mapenzi tunazidi kuteseka
Ujambazi tu😆Sawa ba mnyogode
Tulia kijanaMods fungieni huu uzi kwa muda spain tuna jambo letu mda huu