Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #181
Naomba unilime π
Yupo anaenifata.Chezea tamu wewe π
View attachment 3629259
Mwambie realMamy akupe mdogo wake mmoja wa kitanga, utaimba hadi za jay melody na bado utaona mashairi hayatoshei kuelezea huba lako π!
Kila zama na zama zake πKasie Kama kasie Matata.
Ndugu waandishi wa habari!Naomba nije pm π
Sawa bwashee kaa kwa kutulia hivyo hivyoBwashee ukishapiga vitu ngoma lako hapa JF linapiga sana lbd kesho utakuwa sawa
N ndoto yangu kuwa na mwanamke mtanga, let's make it plz πNdugu waandishi wa habari!
Kama tunavojua nchi yetu ni ya kidemokrasia.π
Kwa hiyo naomba uongelee hapa hapa.
Kila mtu asome π
Wacha weeeh π€π utammwagisha maji baadaye π¦ au unamchosha tu bila sababu?Najiandaa kucheki weldi kapu na mshangazi wa kizungu π
View attachment 3629293
Tule pombeKumbe hadi mimi huwa namisiwa nisipoandika humu!
Itakua amekuelewa
kunipoteza tena π€
View attachment 3629269
Kibongeπ πWacha weeeh π€π utammwagisha maji baadaye π¦ au unamchosha tu bila sababu?
Mbona kama nateseka ma mtuπ π π
Bado hujasema π€£π€£π€£Mbona kama nateseka ma mtuπ π π
Karibu tule πBado hujasema π€£π€£π€£
Kwani ulikuwa bado hujampata hata mmoja.N ndoto yangu kuwa na mwanamke mtanga, let's make it plz π
Hapana ila huwa nasikia sikia kwamba raisi wao ni dronedrake na wana members wa kudumu kama Mbaga Jrπππ Mkuu kwani unawafahamu ?
Legeza kamba upate bahati nawewe au wataka kwenda katoroNdugu waandishi wa habari!
Kama tunavojua nchi yetu ni ya kidemokrasia.π
Kwa hiyo naomba uongelee hapa hapa.
Kila mtu asome π
Nilikuwa nasubir h momentsKwani ulikuwa bado hujampata hata mmoja.
Umechelewa wapi kupikiwa uji wa Nazi Boss?