Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Yaani imeenda vibaya
Ikiwemo na hio kuto mwaga
Zinatokea, siku nyingine mzuka hakuna kivile ila unampa tu ili mradi bamjengo aempty kichupa.
Wakati mwingine wala hakuna maandalizi, wote mnatakana ila mmechoka basi mnatafuta usaidizi wa kilainishi au mat€, ngoma inawekwa, nguvu nyingine zinapatikana hapo hapo wakati mechi imeshaanza.

Na kuna zile zinaishiaga njiani, hakuna aliyemwaga ila mmechoka tu mtaendelea baadaye, mnakumbatiana hapo mnalala.
Situation zipo nyingi, si kila mechi ina maajabu sana, ila hizi za kusimulia huku lazima uchague ile ambayo ilikua moto.

Mfano; wiki hizi mbili wote tumechukua likizo basi tuna muda wa kupumzika na kupeana vizuri, kesho tutasafiri, kubadili tu mazingira na kupalilia penzi, ila kama ingekua kipindi cha kazi, michaka michaka ni mingi na zipo mechi ambazo tunatoa boko 😂 na kuna kipindi inapita hata wiki hatujawekana, mambo yakichanganya.
 
Hapo sawa, ilikua nimeshangaa kila mchezo ni magoli tu!
Kumbe mnakuwa na siku za bila bila!!!

Tchaoo.
 
Noma sana, safari na mahusinao na ndoa ina milima mingi na miteremko yake🤣🤣eti kuna wakati mnawekana hadi mnaishia njiani, hakuna anayefika sekenke wala nini🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…