Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #281
Labda kama wataondoka na mwana, sitaki usumbufu kabisa na wanilipe!
Hapana, mtoto hana kosa buana 😂Or else am gonna sue everyone including the baby😒
Labda kama wataondoka na mwana, sitaki usumbufu kabisa na wanilipe!
Hapana, mtoto hana kosa buana 😂Or else am gonna sue everyone including the baby😒
Eeeenhe iliendaje jana? ulikula mzigo au uliishia kula kitimoto tu?Hahahaha kula kitimoto
Tulia dogo dawa ikuingie 😂😂Hakika huyu amalipwa na serekali apoteze au kufunika kombe na vuguvugu la siasa...
Wana jf angalieni Kinachotokea mbele yenu kwanini hii simulizi itokee sasa..
Nikiwaka zangu sinaga habar😅Eeeenhe iliendaje jana? ulikula mzigo au uliishia kula kitimoto tu?
Kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake 😂Seran tena 😅 ni yeye tu ana ruka ruka
Sawa, basi hongera 👏Gazeti lote sijasoma aisee
Siyo poa kabisa, walimuharibia mood kipenzi changu.Hatimae mleta mada kaenda kuuguza kidonda cha ndoa yake tayari ufaransa imemuharibia mipango ndani
Ana kosa, kaja kufanya nini exactly?
Unataka kusema kipapa kingekua kimeziba au?Ila we ni kaongo sana, muongo mmoja unaujua? Hicho kipapa kina hali gani sasa...?🤣🤣
Yani inakua mmefosi mechi, mkifika katikati mnaona aaanha hapana, hii inabidi tui-postpone tu, hakuna namna 😂Noma sana, safari na mahusinao na ndoa ina milima mingi na miteremko yake🤣🤣eti kuna wakati mnawekana hadi mnaishia njiani, hakuna anayefika sekenke wala nini🤣
Muwe mnavipapasa 🫘 taratibuUna ujinga mwingi we binti
Anakuja na kibunda, amepata marejesho ya hisa zake 😂Mweeeeh! Nami sitaki.
We mlevi, mbona umesema haunipangii halafu ukanipangia?Sawa hatukupangii lakini huo ni ujinga kuwaza ujinga ujinga mda wote
Sasa si kaletwa na nyie wazazi wake 😂 haya mkimshindwa mniletee mama mkubwa nimlee, anichangamshie nyumba kidogo 🤭Ana kosa, kaja kufanya nini exactly?
Watu wana ujuaji mwingi sana humu jukwaani 😄Nimecheka hiyo post no #3. 🤣