Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Kuwa mama na uhuru wapi na wapi 😂
Enewei tafuta mtu awe anakuamsha amsha alfajiri, atakua anamwagia kwenye trakooo ili mimba isiingie 😂
Wee sitakagi hayo makitu yaniguse ntakimbilia kujiloweka bafuni! Halafu hii ya kuamshwa alfajiri huwa siipendi kabisa! Sijui nyie wenzangu mnawezaje!🤦🏽‍♀️
 
Wee sitakagi hayo makitu yaniguse ntakimbilia kujiloweka bafuni!
🤣🤣🤣Ndio maana mke mwenza kumbe!!
Yana shida gani kwani 😆🤣 mtu akiwa anakula vizuri na maji ya kutosha mbona odour inakua sawa tu.
Halafu hii ya kuamshwa alfajiri huwa siipendi kabisa! Sijui nyie wenzangu mnawezaje!🤦🏽‍♀️
Alfajiri ndiyo napenda, niamshwe nayo, nizagamuliwe vizuri halafu nimalizie kausingizi ka asubuhi.
Nikija kuamka asubuhi, mwepesiiii 🤣
 
Humu tu"🤣
🤣🤭
200.gif
 
Yana shida gani kwani 😆🤣 mtu akiwa anakula vizuri na maji ya kutosha mbona odor inakua sawa tu.
Yanatia kinyaa bwana!😖
Alfajiri ndiyo napenda, niamshwe nayo, nizagamuliwe vizuri halafu nimalizie kausingizi ka asubuhi.
Nikija kuamka asubuhi, mwepesiiii 🤣
Uwii sipendi! kwanza kale kausingiz ka alfajiri kalivyo katamu! Aah jamani hapana, labda niwe high🤪
 
Back
Top Bottom