Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Walahi haya mambo leteni weekend , leo siku ya kazi mnatuamsha japo umri umetutupa!
 
Yanatia kinyaa bwana!😖
Mimi nina kinyaa ila siyo kwenye mambo hayo 🤭


Uwii sipendi! kwanza kale kausingiz ka alfajiri kalivyo katamu! Aah jamani hapana, labda niwe high🤪
Ukiamshwa basi ndiyo kanazidishwa utamu, kipengele kigumu kwangu ni ile kwenda kukojoa baada ya tendo ila heka heka za alfajiri nazipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…