Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

Umekaa zako na rozali masikini, shetani anaanza kukukonyeza 🥲
giphy 32.GIF


Bro, leo umeamshwaje, hebu tuanzie hapo 🤭
 
Safi sana, hebu pata mkwe mmoja utulie naye kwanza, ukizidisha mambio ya mishangazi utakufa na mtoto mwenyewe ninaye mmoja tu!
Nitulie na mmoja tuuu et mama kama wewe ulivotulia sio 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Ujibu meseji zangu, unaumwa nini?
Naumwa maumivu tuu mwili mzima unauma
 
Angalizo:

View attachment 3629205

  1. Ooh unapenda sana mapenzi badala ya mambo ya maana - jibu ni ndiyo napenda sana, yani sanaaaaaaa!

  2. Huyu ni dume, hakuna mwanamke anaweza kuandika hivyo - jibu yasiyokuhusu yasikusumbue.

  3. Ooh mambo ya msingi ya taifa, siasa na vyama hayajadiliwi blah blah - jibu: anzisha wewe hizo nyuzi na unitag, nitakuja kuchangia!
 
Dada angu wewe unayaweza jamani.
Nilikua nataka kuwa kama wewe 😋😅
Udambwi udambwi 😋😋

Ila nimecheka hapo kwenye cable Moja juu😅😅😅
Kumbe wingi wa Makebo ni Kebo 😂😂😂😂
 
Nipo ila Harmful siku hizi ndo kupatikana mara chache, toka apate mtoto wa kidigo amekuwa mbosso khan ana andika comment kwa mashairi tu ukipiga simu haipatikani
Aaanha kama ameshatekwa na mtoto wa kidigo, vinyanya mshenzi vyake vinawekwa kwenye kisosi cha chai, huyo tumsahau kwa sasa, acha apewe raha tu 😂 🤭
 
Dada angu wewe unayaweza jamani.
Nilikua nataka kuwa kama wewe 😋😅
Udambwi udambwi 😋😋
Mbona na wewe udambwi damwi unao mwingi sana, najua shemeji yangu anafaidi!
Ila nimecheka hapo kwenye cable Moja juu😅😅😅
Kumbe wingi wa Makebo ni Kebo 😂😂😂😂
Aaanha utayaweza haya maneno ya JF, kaanzisha secretarybird sasa hivi wote tunayatumia!
 
Back
Top Bottom