Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Makebo ndo manin?
Mechi ya France vs Spain naichek huku kifuani kuna kichwa cha mtu 🥰Nasikia umetekwa na mtoto wa kidigo siku hizi 🤭
Mtanga ebu sema kitu😅Asikie utamu wa Vanilla 😋
Siku nyingine unamchanganyia na pilipili manga na mdalasini ilimradi umchanganye tu, hata asielewe anachanganywa na nini haswaaaa 🤭Asikie utamu wa Vanilla 😋
Si ajabu huyu ndo mwenye mtaa wake wakuitwa mama kibonge wa buza Binti wa zamani ndo mama kibonge wa buzaUsilete ushahidi wa picha broo leta manyoya ya kuku tu
We mwenyew si unaelewa mdigo hapendi nitumie simu nikiwa nae 😂leo umepatikana 😁 haya bwana
Sasa wewe bikra utaweza nini?Mkuu hauna mdogo wa kike tuwemashemeji
Makebo ndo manin?
Ni humu tu 😅Mtanga ebu sema kitu😅
Ninaye ila ana masharti mengi sana hutayaweza!Mkuu hauna mdogo wa kike tuwemashemeji
Hakikisha anafika kwenye kilelehuu uzi nmeusoma nkajaribu kuvuta picha jinsi naenda kumshughulikia demu wangu leo

Dah! 😁 kwa hyo kama una kisukari bora ukae mbali😄😄😄 bwashee watoto wa kidigo sio poa , wanapiga vibaiskel unaweza kujuta na kisukari chako 😄
Sawa, basi karibu tena, kwanza umeikutia series mwanzo kabisa, utafaidi!Dah hapana siwezi fanya hivyo na sina sababu , labda kimakosa tu, sasa kama yule Dr manyau nyanu mlamba vinefembe anae dai nawadhihaki wadada sijamweka ignore , nikuweke wewe kwa sababu zipi?
Sijakuelewa!Piga nayakwako niione hapa tukowawili tunachati