Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Eeeenhe watoto wa kidigo walikufanyaje bwashee 🤭😄😄😄 bwashee watoto wa kidigo sio poa , wanapiga vibaiskel unaweza kujuta na kisukari chako 😄
Kwani wewe una kisukari mpwa?Dah! 😁 kwa hyo kama una kisukari bora ukae mbali