Siku ya 1: Ulimwengu wa raha πŸ˜‹: Naomba uniwekee yote ………….

Safi sana, hebu pata mkwe mmoja utulie naye kwanza, ukizidisha mambio ya mishangazi utakufa na mtoto mwenyewe ninaye mmoja tu!
Nitulie na mmoja tuuu et mama kama wewe ulivotulia sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ujibu meseji zangu, unaumwa nini?
Naumwa maumivu tuu mwili mzima unauma
 
 
Dada angu wewe unayaweza jamani.
Nilikua nataka kuwa kama wewe πŸ˜‹πŸ˜…
Udambwi udambwi πŸ˜‹πŸ˜‹

Ila nimecheka hapo kwenye cable Moja juuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kumbe wingi wa Makebo ni Kebo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo ila Harmful siku hizi ndo kupatikana mara chache, toka apate mtoto wa kidigo amekuwa mbosso khan ana andika comment kwa mashairi tu ukipiga simu haipatikani
Aaanha kama ameshatekwa na mtoto wa kidigo, vinyanya mshenzi vyake vinawekwa kwenye kisosi cha chai, huyo tumsahau kwa sasa, acha apewe raha tu πŸ˜‚ 🀭
 
Dada angu wewe unayaweza jamani.
Nilikua nataka kuwa kama wewe πŸ˜‹πŸ˜…
Udambwi udambwi πŸ˜‹πŸ˜‹
Mbona na wewe udambwi damwi unao mwingi sana, najua shemeji yangu anafaidi!
Ila nimecheka hapo kwenye cable Moja juuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kumbe wingi wa Makebo ni Kebo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaanha utayaweza haya maneno ya JF, kaanzisha secretarybird sasa hivi wote tunayatumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…