wito wa kuwatumikia wananchi umetanuka?
Watakuwa wanaufukuzia uchungajiJe ni democrasia? Jobless? Kufukuzia uteuzi wa UDC, UDED au UDAS? au ni wito wa kuwatumikia wananchi umetanuka?
Majibu yote ni sawa kulingana na mrengo!Leo ikiwa ni siku ya kwanza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. zaidi ya wanachama 80 wamejitokeza kuchukua fomu katika jimbo la Kawe..
Je ni democrasia?
Jobless?
Kufukuzia uteuzi wa UDC, UDED au UDAS?
au ni wito wa kuwatumikia wananchi umetanuka?
Kuna kiberiti CCM hakiguswi na fomu ilichapishwa moja tu.Ili uheshimiwe ccm ni lazima utikise kiberiti
Njaa tuLeo ikiwa ni siku ya kwanza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. zaidi ya wanachama 80 wamejitokeza kuchukua fomu katika jimbo la Kawe..
Je ni democrasia?
Jobless?
Kufukuzia uteuzi wa UDC, UDED au UDAS?
au ni wito wa kuwatumikia wananchi umetanuka?