Uchaguzi 2020 Siku ya 1: WanaCCM 80 wachukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kawe huku 31 wakichukua Kinondoni

Mkoa wa Mara siku ya Kwanza tu wamejitokeza 203.

Kituko ni Jimbo la Butiama ambapo mtu na kakake -Madaraka Nyerere na Makongoro Nyerere ni kati ya wagombea 19 waliojitokeza kuchukua fomu
Ni kituko kwa kwel,je mazahaus atampigia nani apo,tena iwe ya waz
 
Kuna majimbo yatafikisha watia nia katia ya 1000 mpaka 10000 na zaidi. Ni suala la muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…