Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Sijui kwa nini wanchukua form wengi kiasi hiki aisee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100,000/=kwani form ya ubunge unaichukua kwa Tshngapi
Tshs.100,000.00 pamoja na michango mingine inayo range kati ya 500,000-1000,000kwani form ya ubunge unaichukua kwa Tshngapi
Ni kituko kwa kwel,je mazahaus atampigia nani apo,tena iwe ya wazMkoa wa Mara siku ya Kwanza tu wamejitokeza 203.
Kituko ni Jimbo la Butiama ambapo mtu na kakake -Madaraka Nyerere na Makongoro Nyerere ni kati ya wagombea 19 waliojitokeza kuchukua fomu
Wanajua wakipita ccm ni wameshakua wabunge..Sijui kwa nini wanchukua form wengi kiasi hiki aisee....
Fomu ilikuwa moja tuMbona hawakujitokeza wengi kwenye nafasi ya juu?
kumbe ndio maana kuna wavurugaji wengi sana,, wangewapia kibunda kirefu100,000/=
A.k.a Coco Channel
Sio kweli, Bia yetu ni mwingine na Kawe Alumni ni mwingine. Wanafiki wanawachanganya.
subutuuuuuuuWakifika 260 wote washindane kwa pamoja na Halima na bado watalazwa na viatu
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app