Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Mbona sikukuona kwenye mchakato wa Chadema? mimi nipo kijijini Kirongwe, nitafute.Hahahahahhaaaa wameshajua jamaa anachotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sikukuona kwenye mchakato wa Chadema? mimi nipo kijijini Kirongwe, nitafute.Hahahahahhaaaa wameshajua jamaa anachotaka
Aiseeee nauguliwa MpwaMbona sikukuona kwenye mchakato wa Chadema? mimi nipo kijijini Kirongwe, nitafute.
Wapi amekiri?Mwenyewe anakiri wewe unabishana!
100000 tukwani form ya ubunge unaichukua kwa Tshngapi
Sijui kwa nini wanchukua form wengi kiasi hiki aisee....
Wapi amekiri?
Nonsense.Wewe ni mkewe.!!
Muda wa waganga kupiga Hela umekaribia
Wanajaribu kujitangaza kwa ajili ya uteuzi!!Sijui kwa nini wanchukua form wengi kiasi hiki aisee....
AHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAFomu ilikuwa moja tu
Yule huwa hapingwi, atakaejaribu ugomvi hauishi mpaka ammalize kama jengo la TANESCOMbona hawakujitokeza wengi kwenye nafasi ya juu?