Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta.

Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza.

Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal.

Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana yeye ni mwanachama wa Udp. Udp hawana bifu kubwa na polisi.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari.

8. Anayezima Mtandao na Kuzuia mitandao ya kijamii.

9. Ànayebambikizia akina Lissu kesi

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta.

Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza.

Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal.

Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana yeye ni mwanachama wa Udp. Udp hawana bifu kubwa na polisi.
Fazafaka wa Kizimkazi ni Iblis kamili. Amepoteza makada wa CCM sembuse huyo kada wa UDP?
 
Hivi UPDP si ndo moja ya zile vyama mchongo vinavyounga mkono Upumbavu wa CCM?
 
Vipi lakini kuhusu kijana mzalendo levy davidi mkindikwa keshapatikana???
 
Back
Top Bottom