KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tatizo mbezi imekua ya kila mtu tofauti na zamani wakati afande anaimba'kuna tofauti gani Kati ya temeke na mbezi..'yaani kuna hadi mbezi matembele ya pili, really!?
Screenshot_20241030-201338_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom