Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Leo ni siku ya Afrika.

Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.

Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.

Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.

Source Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwahiyo bwashee hilo wazo la kusamehe madeni lilitolewa na Magufuli kule Chato likamfikia katibu mkuu moja kwa moja? Nimetafuta hapo alipong'ara nimechukua mpaka miwani na tochi sijapaona bwashee.

Kesho kutwa linakuja dege kubwa kutoka Marekani kuchukua raia msije kudanganya tena kuwa limeleta watalii bwashee.
 
Katibu mkuu wa UN ni taasisi ofisi yake ipo hapa nchini bwashee!
 
Wakiamua kusamehe maana yake Ni kweli wameamua kwenda na wazo la JPM

Wasiposamehe, maana yake wamekubaliana na mawazo ya Baadhi ya mapendekezo ya maraisi waliopokea mikopo ya Corona
 
Leo ni siku ya Afrika.

Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.

Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.

Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.

Source Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Ni statement nzuri. Nchi watuangalie na sisi hali zetu.
Lakin kaka john. Magu anahusikaje lakin hapo.
 
Back
Top Bottom