johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Leo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!