johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee umesoma na kuelewa lakini?!Sasa magufuri anahusika vipi hapo, mbona tunakuwa na uandishi maandazi sana,
Ivuga umeshapanic!Naomba wasisahau kumsifia magu pia ndio alisababisha African ipate Uhuru.
MATAGA oyee
Vijana wa ufipa mnashida sanaNaomba wasisahau kumsifia magu pia ndio alisababisha African ipate Uhuru.
MATAGA oyee
Katika speech ya uyo kiongozi kamtaja magufuli au ndio mmejipigia pass kwa mbeleBwashee umesoma na kuelewa lakini?!
Kwahiyo bwashee hilo wazo la kusamehe madeni lilitolewa na Magufuli kule Chato likamfikia katibu mkuu moja kwa moja? Nimetafuta hapo alipong'ara nimechukua mpaka miwani na tochi sijapaona bwashee.Leo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Katibu mkuu wa UN ni taasisi ofisi yake ipo hapa nchini bwashee!Kwahiyo bwashee hilo wazo la kusamehe madeni lilitolewa na Magufuli kule Chato likamfikia katibu mkuu moja kwa moja? Nimetafuta hapo alipong'ara nimechukua mpaka miwani na tochi sijapaona bwashee.
Kesho kutwa linakuja dege kubwa kutoka Marekani kuchukua raia msije kudanganya tena kuwa limeleta watalii bwashee.
Lugha za kidiplomasia mara nyingine hazitaji majina kwa sababu maalumu!Katika speech ya uyo kiongozi kamtaja magufuli au ndio mmejipigia pass kwa mbele
Madema yanazidi kufa kifo cha mendeNaomba wasisahau kumsifia magu pia ndio alisababisha African ipate Uhuru.
MATAGA oyee
ππππ eti mambo ya kafa kwa kushindwa kupumuaπππLugha za kidiplomasia mara nyingine hazitaji majina kwa sababu maalumu!
Kwasasa tusahau Ubeberu sababu tumesifiwa?Katibu mkuu wa UN ni taasisi ofisi yake ipo hapa nchini bwashee!
Ni statement nzuri. Nchi watuangalie na sisi hali zetu.Leo ni siku ya Afrika.