Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ishu ya kusamehe au kutokusamehe ni maamuzi ya alietoa hela . Huwez mpangia au kumwamrisha nini afanye.Wakiamua kusamehe maana yake Ni kweli wameamua kwenda na wazo la JPM
Wasiposamehe, maana yake wamekubaliana na mawazo ya Baadhi ya mapendekezo ya maraisi waliopokea mikopo ya Corona
Km sijakosea hiyo ishu ya kusamehewa madeni kwa muda ilitolewa na ACT na aliyesema n malim sef. Sio mbaya laknLeo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Jpm babalaoLeo ni siku ya Afrika.

Na ndiyo maana nimetangulia kusema kuwa, Ikiwa wataamuaIshu ya kusamehe au kutokusamehe ni maamuzi ya alietoa hela . Huwez mpangia au kumwamrisha nini afanye.
Maalim Seif aliongea kama nani?.......lin?.......wapi?Km sijakosea hiyo ishu ya kusamehewa madeni kwa muda ilitolewa na ACT na aliyesema n malim sef. Sio mbaya lakn
Nimecheka kwa sauti kubwa, eti amegundua kupga nn
Mh sioni hata sababu ya kukujibu. Kunauwezekano sio mfuatiliaji wa habari au muunga juhudiMaalim Seif aliongea kama nani?.......lin?.......wapi?
MATAGA si mnajitoa akili inabidi twende sawa hats akijammba tumifie kwa tashwishwiIvuga umeshapanic!