Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

Wakiamua kusamehe maana yake Ni kweli wameamua kwenda na wazo la JPM

Wasiposamehe, maana yake wamekubaliana na mawazo ya Baadhi ya mapendekezo ya maraisi waliopokea mikopo ya Corona
Ishu ya kusamehe au kutokusamehe ni maamuzi ya alietoa hela . Huwez mpangia au kumwamrisha nini afanye.
 
Leo ni siku ya Afrika.

Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.

Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.

Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.

Source Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Km sijakosea hiyo ishu ya kusamehewa madeni kwa muda ilitolewa na ACT na aliyesema n malim sef. Sio mbaya lakn
 
Leo ni siku ya Afrika.

Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.

Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.

Antonio pia ameipongeza Afrika kwa namna inavyoshughulikia swala la ajira na mikakati yake ya kuongeza pato la kila nchi na ile per capita.

Source Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Jpm babalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom