Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

Hii ilikuwa ni baadae sana. Na Ruge alikuwa kishapata vigoli wengine. Jide alikuwa kishaolewa na Captain.
Ooh yaan kumbe alikuwa tayali x akaombwa tena, Sasa ndo nimeelewa
 
mbona wanadai alimtosa ndo maana jamaa akamkatalia hata nyimbo zake kupiga redio kwake
Wewe unazungumzia 2013 era wakati mie nazungumzia 2000-2004!!! Hayo ya kutopigiwa nyimbo zake ni miaka ya 2013 wakati walikuwa washaachana!! Wakati wanakulana ni miaka ya 2000-2004 hapa kati.
 
Wewe unazungumzia 2013 era wakati mie nazungumzia 2000-2004!!! Hayo ya kutopigiwa nyimbo zake ni miaka ya 2013 wakati walikuwa washaachana!! Wakati wanakulana ni miaka ya 2000-2004 hapa kati.
Nimekuelewa! kumbe zile hasira za kutohudhuria Ilikuwa Ni X si kubaniwa nyimbo Kama wengi tunavyoamini
 
huyu dada ana roho ya Miriam Makeba,roho ya kipambanaji,binafsi namkubali sana
 
Hata LadyJayD aseme nini haisaidii, maproducer wataendelea kuwakanda watoto wetu wa kike. dada zetu na hata mama mpaka mwisho wa dunia, iwe hapa dunia ya kwanza au ya mwisho...
Inauma ila tutafanya nini, ni ukweli kwenye hiyo biashara zao..ni biashara inayohusisha mambo mengi sana ya kula bata, tunashukuru wengi wao siyo mateja, ila sidhani kama kuna mzazi anayejuwa hayo mambo atamruhusu mtoto wake wa kike kuingia huko, na hata wa kiume......ndio twasikia wanageuzwa!
Inasikitisha mno kwa kweli...
 
Khaaa ukweli mchungu
 
yaaan inauma lakini wanapenda wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…