Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

Niwazo zuri ila tuhakikishiane usalama , , , maana inaweza kuwa ni nafasi ya mafisadi kuwapata wazalendo walio ibua machafu yao!
 
Mgawa vinywaji nitakua mm..
Huku picha ya miko skolfidi kifuani..
 
me hiyo ntajitambilish jina langu tu mana kuna watu wanawez nibutua the way nawajibu hovyo jf
 
Nitaudhulia; kama nilivyowahi kujisifu mimi ni kati zile njemba zilizokwenda hewani.
 
Jinsi tunavyochana mambo live humu,nahisi vijana wafia nchi,makirikiri,mifuko ya cement watatuzoa kama kumbi kumbi.
Nashauri lisiwepo kwa usalama wetu jf members.
Intelijensia yangu imebaini.
 
Back
Top Bottom