siku hiyo itakuwa siku ya kujenga mahusiano mapya na pia kusambaza upendo kati yetu. njoo wewe njoo peke yako usihofu partner wa kucheza naye music atapatikana huko huko. ni kula nyama choma kwa ndizi na kushushia vileeee vinywaji vyetu. akina dada amarula zinauzwa kwa nusu bei na wine pia zitakuwepo kwa bei rahisi. hiyo ni siku maalum ya gulio. 7/7
Usisahau kulipia Jina JF kwa kutengeneza faida. Ila wazo zuri. Nadhani Mods wataliona ili watumie fursa kuingiza kiasi kidogo cha Mboga.