Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

Niwazo zuri ila tuhakikishiane usalama , , , maana inaweza kuwa ni nafasi ya mafisadi kuwapata wazalendo walio ibua machafu yao!
 
Mgawa vinywaji nitakua mm..
Huku picha ya miko skolfidi kifuani..
 
me hiyo ntajitambilish jina langu tu mana kuna watu wanawez nibutua the way nawajibu hovyo jf
 
Huwezi kunitumia hzo nyama kwenye email yangu?
Hii nayo kali! Kama jamaa mmoja kwenye harusi aliupenda wimbo uliokuwa ukimbwa na vijana wahereheshaji. Akamwita mpiga picha ampigie picha wimbo huo[emoji3] [emoji3]
 
Nitaudhulia; kama nilivyowahi kujisifu mimi ni kati zile njemba zilizokwenda hewani.
 
Jinsi tunavyochana mambo live humu,nahisi vijana wafia nchi,makirikiri,mifuko ya cement watatuzoa kama kumbi kumbi.
Nashauri lisiwepo kwa usalama wetu jf members.
Intelijensia yangu imebaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…