Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

uje tu bila usiweke id yako tujumuike ila utaninong'oneza sikioni kuwa wewe ndo.... maana michango ya wengine humu ndani inawafanya wawe so sexy.


Do tusije kuishia selo, wengine tulimwaga sana radhi hapa kuhusu DAB.
 
Mbona Kwa staili hii watakaokuwa na ID ya the Bold watakuwepo wengi ili wawakamate watoto!!!!!
 
Wazo zuri ila hapo kwenye ID sioni kama ni muhimu sana mie binafsi nitakuwepo kama kutakuwa na ulazima wa kutambuana nitajongea kwa niliependezwa nae ili tutambuane kimyakimya
[emoji16][emoji3]
 
Kuonesha upo really mimi nafikiri uweke picha yako hapa tukuone ila tukija na ID zetu tusianze kupepesa macho,tuwe tumeshakufahamu tukufuate kuendelea na mengineyo….

Tupia kapicha kako sasa
 
Ntakuwepo mkuu,
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji7] [emoji33] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120]
 
Itakua saa ngapi?? Kacha gal hua hapitwii na mambo hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…