Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

Ni kama unataka tuje kukuungusha kwenye biashara yako. Ok tutakuja
 
Nahisi kabisa wewe utakuwa umetumwa na wale jamaa UWT ili ukamate wana JF unaowasaka. Sioni logic ya watu kuja na mabandiko ya ID zao otherwise wangeshakuwa verified members
 
Aaaahhhh kumbe we ni mwanaume wa dar
 
Tutatumia fake ID gani tusijulikane hapo kwenye nyama choma? Ukinipatia jibu ntakuwa wa kwanza kufika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…