Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

anamiaka 3 mbele ,atawasamehe tu baadhi yao,ondoeni shaka ,Ila gaidi hata kuwa miongoni mwao, ha ha ha ha !!,maana atakuwa bado mahabusu!!
 
Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.
kwa maana hiyo amevunja katiba wazi wazi sasa kwa kisingizio cha doctrine ya separation of power ambayo haikuongelewa kwenye katiba
 
Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni?

Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Kwani lazima?
 
Back
Top Bottom