Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.