Siku ya kushika mimba ni ipi?

Habari wana jf. Natamani kuwa na mtoto. Hivyo naomba msaada juu ya siku ya kushika mimba. Mzunguko wangu wa period naanza tarehe 9 na kumaliza tarehe 14.

J3 na Ijumaa ndio siku nzuri kushika Mimba dada!!!!
 
Nashukuru kwa michango yenu. Naifanyia kazi.
 
Habari wana jf. Natamani kuwa na mtoto. Hivyo naomba msaada juu ya siku ya kushika mimba. Mzunguko wangu wa period naanza tarehe 9 na kumaliza tarehe 14.

Kwanza nijue umri...mwanaume ana age gan...pia kama mzunguko wako huwa unabadilika badilika...last mp uliingia tarehe ngap....hope I will come na jibu sahihi
 
Kwanza nijue umri...mwanaume ana age gan...pia kama mzunguko wako huwa unabadilika badilika...last mp uliingia tarehe ngap....hope I will come na jibu sahihi

28 ma boy 27 huwa inabadilika siku moja.
 
uangalii tar unacount n cku ngap unapoanza had mwngne i.e 21,28 au mrefu...so cku ya mimba n ya 14
 
Kwa urahisi, hesabu siku za mzunguko wa hedhi, mfano siku 28.
Hapo 28 gawanya kwa 2 utapata 14 (siku yai linashuka ndiyo itakayokupa siku za kushika mimba)
Hapo hiyo siku ya 14-3=11, Halafu14+3=17
Jibu ni kwamba siku ZENYE UWEZEKANO MKUBWA wa kushika mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi 17 katika mzunguko wako wa hedhi.

Hiyo formula inatumika kwa mizunguko yoote, hiyo 28 ni mfano tu.
PIA USISAHAU KUMUOMBA MUNGU WAKO AKUJAALIE ULITAKALO
 
wewe mruhusu jamaa awe anapiga tu utajikuta umeshika mimba..!! haya mambo ya calculation nayo hayana 100%
 
Jamani naomba kuuliza,baada ya hedhi kuisha kuna siku ngapi ambazo ukifanya sex huwezi pata mimba?
 
Jamani mm sielewi elewi mzuko wangu niwasiku ngapi coz mwezi nikiingia tarehe 20 mwezi unaofuata naiyona mwezi 18 au 17 kiufupi zinaruka siku 2-3 na nihitaji MTT kwaiyo Sikh za kubebeshwa mimba ni zipi na tarehe zipi naweza kupata MTT was kiume naomba msaada wenu
 
Jamani mm sielewi elewi mzunguko wangu km mwezi huu nimeingia 20 ujao naingia 18 auh 17 kiufupi nashuka auh auh naruka siku 2-3 kutoka 220-22-23 au kutoka 20 hadi 18-17 inakuwa nashuka auh napanda kwaiyo mm nitahisabu vipi kalenda yangu na kujua siku za kuweza kubeba mimba NAOMBA MSAADA WENU WADAU
 
Habari wana jf. Natamani kuwa na mtoto. Hivyo naomba msaada juu ya siku ya kushika mimba. Mzunguko wangu wa period naanza tarehe 9 na kumaliza tarehe 14.
kuanzia tarehe tisa hesabu had siku ya kumi na nne yai linashuka kusubir shahawa yoyote ikatize na kutunga mimba

note mbegu za kiume zinakimbia speed kuliko za kike na pia za kiumezina ish mda mfup kuliko za kike actual zakike sikunne zakiume siku mbili so kumpata mtoto wa kiume sex siku ya 14 ambayo yai litakua linasubir mbegu ili itynge mimba na kwa kua zakiume zina mbio zitawai kwwnye yai kuliko za kike yai linakaasikutano so ukikojolewa siku ya kumi na nne mpaka nane hapo ni wa kiume wa kike kojolewa sikuya kumi na moj a kumi na mbili kwa maana ikifika siku ya kumi na nne zitapita siku mbili za kiume zitakua zishajifia.za kike zitakua zenyew. ndio maana watoto wa kike niweng now sababu mbegu za kiume zinakuazishakufa kabla ya yai kushukua
 
mnaotaka kufahamukuhusu masuala ya jinsya kutunga mimba na jinsia ya mtoto nicheki hapa ushaur bure 0712505049
 
Ninavyoelewa mie, na kutokana na maelezo yako hapo juu, unapaswa ukutane na mwenzi wako kati ya tarehe 1 hadi 8. Ndani ya hizo siku, kiumbe kitapatikana tu
tarehe zinabadirika hesabu siku
 
yai litashuka siku ya 14baada ya siku ya kwanza kubreed msichanganye na tarehe14 siku ya hatar ni nne nyuma ya tarehe 14 na nne mbele ya 14 sababu ukikojolewa mbegu zinakaa kati ya siku nne si zaid ya hapoza kiume siku tatu nadhan mmeelewa
 
Asante! Nimeanza kumuoana mke wangu ana hali hiyo.
 
Ukienda Hosp doc atakupa dawa utakunywa kwa muda wa miezi mi3 then siku zako zitakua sawa sawa. Ila kwa sasa huwezi shika mimba maana siku zako hazieleweki, nilishakua na tatizo hilo zamani.
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…