robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane.
Karibuni ni hawa hawa hawakuleta salamu za kupongeza Mapinduzi ya Z'bar, au Uhuru wa Tanganyika mwezi Disemba, ghafla wanafurahia siku ya kuzaliwa rais.
Ni kweli kwamba siku ya kuzaliwa rais ni muhimu kuliko siku ya kuzaliwa Taifa la Tanganyika na Z'bar? Pamoja na kufundishwa civics lakini bado unafiki unapendwa kuliko sifa za kuiga na kujionesha. Tuache unafiki!