robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Duh umemaliza✍️Kijana mkono mtupu haulambwi shehe ...!! Hzo sku za kuzaliwa sjui Tanganyika mara Zanzibar ni nan zinamwingizia hela ??
Nchi hiiNaangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane.
Karibuni ni hawa hawa hawakuleta salamu za kupongeza Mapinduzi ya Z'bar, au Uhuru wa Tanganyika mwezi Disemba, ghafla wanafurahia siku ya kuzaliwa rais.
Ni kweli kwamba siku ya kuzaliwa rais ni muhimu kuliko siku ya kuzaliwa Taifa la Tanganyika na Z'bar? Pamoja na kufundishwa civics lakini bado unafiki unapendwa kuliko sifa za kuiga na kujionesha. Tuache unafiki!
Nchi hii
imekwishaharibika kwa 87%!
Tunaongozwa na wanafiki!
Tunaongozwa na wezi!
Tunaongozwa na wala Rushwa!
Tunaongozwa na watu wabinafsi wenye kutetea matumbo yao na familia zao!
Tunaongozwa na kundi baya sana la kimkakati,kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu!
Ndio maana Mungu anaelekea kutupa laana ya Ushoga hadi kufikia kufundishwa Mashuleni!
Ndio maana tunashuhudia Mauaji ya ajabu ajabu,tena baina ya wanafamilia,pamoja na wanandugu wa damu moja!
Jakaya kikwete !
Ni mtu hatari asiye na chembe ya Uzalendo!
Ni msaliti mbinafsi na kiongozi wa mifumo ya ubadhirifu muda wote!
Chukulia mfano huu!....
Alimsaliti Lowassa!
Mtu pekee aliyekuwa karibu naye katika hali zote!
Tangia wako vijana,tunaweza kusema .....katika dhiki na faraja !
Masika na kiangazi.....
Lakini alimtosa kwa maslahi yale binafsi,bila kutambua mchango wake Lowassa kwa kikwete hadi kumfikisha hapo alipo leo!
Lakini hivi sasa Kikwete na Lowassa!
Mahusiano yao ni sawa na ...Paka na Panya!
Vivyo hivyo kwa Magufuli,aliingia Ikulu,sio kwa ridhaa ya Kikwete,bali nguvu ya Mkapa(R.I.P) na Mwinyi....
Kikwete alipoona Magufuli anagusa madlahi yake,akalifufua upya kundi la wanamtandao....
Kilichofuatia kila mmoja alishuhudia!
Na hata sasa,Samia anaingia kichwa kichwa,na kukubali kutoa shea ya uongozi wa nchi kwa Msoga!
Muda ukiwadia atajua kwamba alikuwa hajui!
Hata yeye Kikwete,nafsi ilimsuta,hadi akawa anajitetea siku ya msiba kule Chato!
Sasa basi,wana CCM waliopo sasa hivi,kwa kujua chama kiko Captive na Genge moja!
Wanachoweza kukifanya ni huo unafiki wa 100% wakifuaitiwa na kundi kubwa la wanufaika wa mfumo uliopo!
Wakenya!
Lazima wamuombee afya njema Samia,kwa sababu amewaokoa na baa la njaa,Tanzania ndiyo nchi inayoilisha Kenya kwa 64%.
Huko Kenya kuanzia Garrisa,Tana River,Wajir,Baringo nk,wakenya wanataabika na baa la njaa shauri ya ukame wa muda mrefu.
Tegemeo lao ni chakula kutoka Tanzania [emoji1241].
Mimi nikituma salamu zangu huku nikiwa kwenye ID feki pia najipendekeza ?!! Ila wale wanaojulikana kwa majina yao halisi wengi wao ni kweli wanajipendekeza japo sio wote !!Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane.
Karibuni ni hawa hawa hawakuleta salamu za kupongeza Mapinduzi ya Z'bar, au Uhuru wa Tanganyika mwezi Disemba, ghafla wanafurahia siku ya kuzaliwa rais.
Ni kweli kwamba siku ya kuzaliwa rais ni muhimu kuliko siku ya kuzaliwa Taifa la Tanganyika na Z'bar? Pamoja na kufundishwa civics lakini bado unafiki unapendwa kuliko sifa za kuiga na kujionesha. Tuache unafiki!
Makonda mwenyewe alikuwa anamfungia kamba za viatu Riz One mpaka ikalipa akachaguliwa na Mzee kuwa DC !! Sometimes kujipendekeza huwa inalipa !!😂Makonda alikuwa anapongezwa hadi na wasanii. Sasahv sidhani kama wanakumbuka birthday yake
Duh ! Hatari sana !!Badala Ulega ndio katoa mpya .
Kaenda kutoa sadaka kwenye vituo vya yatima kusherehekea birthday ya SA 100. Wakati yeye mwenyewe kwenye birthday yake hafanyi hivyo.
Kila mmoja ana kihoja chake simply kujipendekeza.
Kuna mjinga 1 (msanii) ndio katoa Kali ya mwaka ,yeye katoa zawadi Kwa saa 100 ya picha yake ya kuchora ( yake huyo msanii) eti saa 10o aitundike Ikulu kama zawadi ya birthday ya Saa 100 eti amemjibu saa 100 Kwa sababu na yeye saa 100 huko nyuma alimpatia zawadi ya picha yake.
Yaani full vituko
Unafiki umekithiri na unanukaAbdala Ulega ndio katoa mpya .
Yeye kaenda kutoa sadaka kwenye vituo vya yatima kusherehekea birthday ya SA 100 Nikawa na jamaa kabadilishwa kawa Mnikulu? Kupata taarifa Kwa jamaa bado ni Naibu Waziri Ila nikapata za chinichini kwamba anajipendekeza kwani amesikia hayupo kwenye listi. Wakati yeye mwenyewe Abdala Ulega tokea amezaliwa hajawahi kufanya hivyo kwenye birthday yake.
Kila mmoja ana kihoja chake simply kujipendekeza.
Kuna mjinga 1 (msanii) ndio katoa Kali ya mwaka ,yeye katoa zawadi Kwa saa 100 ya picha yake ya kuchora ( yake huyo msanii) eti saa 10o aitundike Ikulu kama zawadi ya birthday ya Saa 100 eti amemjibu saa 100 Kwa sababu na yeye saa 100 huko nyuma alimpatia zawadi ya picha yake.
Yaani full vituko
Ni vema kuusema ukweli tunaujua kuliko kukaa nao!Umemaliza kila kitu, sina cha kuongezea nakuunga mkono 100%
Kikwete angekuwa mbaya hivyo kama unavyosema, angeshakufa siku nyingiNchi hii
imekwishaharibika kwa 87%!
Tunaongozwa na wanafiki!
Tunaongozwa na wezi!
Tunaongozwa na wala Rushwa!
Tunaongozwa na watu wabinafsi wenye kutetea matumbo yao na familia zao!
Tunaongozwa na kundi baya sana la kimkakati,kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu!
Ndio maana Mungu anaelekea kutupa laana ya Ushoga hadi kufikia kufundishwa Mashuleni!
Ndio maana tunashuhudia Mauaji ya ajabu ajabu,tena baina ya wanafamilia,pamoja na wanandugu wa damu moja!
Jakaya kikwete !
Ni mtu hatari asiye na chembe ya Uzalendo!
Ni msaliti mbinafsi na kiongozi wa mifumo ya ubadhirifu muda wote!
Chukulia mfano huu!....
Alimsaliti Lowassa!
Mtu pekee aliyekuwa karibu naye katika hali zote!
Tangia wako vijana,tunaweza kusema .....katika dhiki na faraja !
Masika na kiangazi.....
Lakini alimtosa kwa maslahi yale binafsi,bila kutambua mchango wake Lowassa kwa kikwete hadi kumfikisha hapo alipo leo!
Lakini hivi sasa Kikwete na Lowassa!
Mahusiano yao ni sawa na ...Paka na Panya!
Vivyo hivyo kwa Magufuli,aliingia Ikulu,sio kwa ridhaa ya Kikwete,bali nguvu ya Mkapa(R.I.P) na Mwinyi....
Kikwete alipoona Magufuli anagusa madlahi yake,akalifufua upya kundi la wanamtandao....
Kilichofuatia kila mmoja alishuhudia!
Na hata sasa,Samia anaingia kichwa kichwa,na kukubali kutoa shea ya uongozi wa nchi kwa Msoga!
Muda ukiwadia atajua kwamba alikuwa hajui!
Hata yeye Kikwete,nafsi ilimsuta,hadi akawa anajitetea siku ya msiba kule Chato!
Sasa basi,wana CCM waliopo sasa hivi,kwa kujua chama kiko Captive na Genge moja!
Wanachoweza kukifanya ni huo unafiki wa 100% wakifuaitiwa na kundi kubwa la wanufaika wa mfumo uliopo!
Wakenya!
Lazima wamuombee afya njema Samia,kwa sababu amewaokoa na baa la njaa,Tanzania ndiyo nchi inayoilisha Kenya kwa 64%.
Huko Kenya kuanzia Garrisa,Tana River,Wajir,Baringo nk,wakenya wanataabika na baa la njaa shauri ya ukame wa muda mrefu.
Tegemeo lao ni chakula kutoka Tanzania [emoji1241].
Utaiombea mabaya sana nchi yetu ila hutafanikiwaNi vema kuusema ukweli tunaujua kuliko kukaa nao!
Mkuu kikoozi
Nchi iko jatika kipindi kibaya sana cha unafiki,imefikia mahali watu wenye akili timamu,wasomi....eti wanaona sufa kujiita Ma-Chawa!
Time will Tell!