Kiingilio sh 1000/=Kiingilio sh ngapi?
mtandao kama umetulia hio sehem ni wazo zuri, ila mara nying mtandao internet changamoto humalizi dakika 10 inakatakataHii akili ni safi...ila sasa uwe na simu ya maana na siyo unatumia tecno
Njoo inbox mzee 0712043374 tupeane uzoefuNi takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.
Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]
Umenichekesha sana ulivyotaja watu wabishi na maneno mengi,hao kila mtaa huwa hawakosekani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pia jitahidi kuwafahamu mashabiki wa timu kubwa wenye ubishi na maneno nengi na kuwaweka karibu ikiwezekana kuwapa ofa ya kutazama game bure hapo kwako itakuongezea wateja wengi sana watu wengi huwa wanapenda majibizano wakati mechi zinaendelea na baada ya mechi kuisha.
Chukua huu ushauriMwanzo mgumu.
Utapata tu..
Uliona vipi weka na video shoo za movie
Jero, ukitaka ku penetrate soko,, shusha bei, ongeza thamani,,Hakuna mpinzani ni mimi tu!!
Simba na yanga niweke jero au buku mkuu!!