Siku ya kwanza baada ya kufungua kibanda umiza

vikodin

Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
55
Reaction score
96
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"

Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.

Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.

Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi??? [emoji848][emoji848][emoji848]

Hauna mkono wa biashara, fanya kitu kingine, utashindwa! Biashara yaitaji mipango na uvumilivu, ni mapema sana!

Kama unataka biashara, tafuta namna nyingine ya kulipia hizo kwa miezi hata 3 then biashara itakaa sawa!

Biashara zote zinalipa, issue ni how long can you wait for that ili ikulipe? If u can wait utaifaidi.
 
Mkono wa biashara unakujaje hapo mzee wakati hii mambo ndo ina siku moja
Toa tu ushauri sio kukatisha tamaa
 
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"

Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.

Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi??? [emoji848][emoji848][emoji848]
We unaonaje kwani?
 
Hapo utapiga hela sana mkuu kumbuka jana ndio kwanza umeanza watu ndio wanaanza kujua kama unaonyesha mpira hapo cha msingi jutahidi kuonyesha mechi za kila siku bila kukosa kwa sababu yoyote ile utapata wateja wengi tu ndani ya miezi michache ijayo
 
Pia jitahidi kuwafahamu mashabiki wa timu kubwa wenye ubishi na maneno nengi na kuwaweka karibu ikiwezekana kuwapa ofa ya kutazama game bure hapo kwako itakuongezea wateja wengi sana watu wengi huwa wanapenda majibizano wakati mechi zinaendelea na baada ya mechi kuisha.
 
Siku moja tu unataka ujaze kibanda? Biashara ni uvumilivu,utakula hasara,utaangula ila unatakiwa ukaze bila kukata tamaa,usitegemee faida ya haraka,tengeneza kwanza Brand kisha biashara itafuata tu,kua mbunifu,weka bango kisha kila siku unaweka ujumbe wakufurahisa baada yakutangaza game za siku hiyo.

Good luck brother.
 
Good move!

Hakikisha unawahi kufungua office hapo mkuu kuna watu wanapenda kuwahi mapema sana.

Andika mechi zote mapema unazoonyesha siku uhusika hakikisha una ubao mzuri wa matangazo hata ukiwa nayo zaidi ya mmoja.

Usiache kuonyesha game za EPL hata kama zipo katikati ya week.

Usichoke mwanzo ni mgumu ila soon utanishukuru.

Kuwa na malengo ya kuongeza hicho kibanda ndani ya muda fulani.

Kuwa na heshima na pesa utafika unapotaka kufika!
 
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"

Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.

Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi??? [emoji848][emoji848][emoji848]
Mimi nina kibanda umiza ilala mchikichini, nina azam na dstv, kwa uzoefu wangu inapocheza simba au yanga ndio ninapoingiza hela kwa mechi around 15 - 20k, azam mara chache inapata watazamaji so ninachifanya kwenye mechi zingine mtu anaweza kununua maji/soda akaangalia mpira nimeweka na ile mashine ya kamari kwa hiyo wengine watacheza pale.

Kwa dstv nalipia kingamuzi kwa mechi za big za big six epl, inalipa ila usiitolee macho, pia usioneshe mpira tuu pafanye pawe kijiwe mtu akiwa hana kazi huko anakuaja anakuachia mia mbili mia tatu, mimi nanunuaga magazeti kwa hiyo watu wanawahi kubishana kabla ya mechi hapo mimi nauza maji,soda, juice na pombe za kupima
 
Hawana ubunifu.Kwa sababu vibanda umiza huwa vinaonyesha tu mpira na yeye anataka aonyeshe tu mpira!
Hapo sasa..angekua anajua kujiongeza na zile raha na mzuka za main event kama wrestlemania..survivor series nayo inakuja,zile bifu za akina Sasha na Bayley,huku viper na mctyre uwiii.

Movie kali za akina Jackie chan,Jason statham,unakuta channel ratiba inaonesha Leo ni fast&furious zote mfululizo halafu ni weekend...
 
Back
Top Bottom