Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani san mzee naamini ni swala la mda tuSiku moja tu unataka ujaze kibanda? Biashara ni uvumilivu,utakula hasara,utaangula ila unatakiwa ukaze bila kukata tamaa,usitegemee faida ya haraka,tengeneza kwanza Brand kisha biashara itafuata tu,kua mbunifu,weka bango kisha kila siku unaweka ujumbe wakufurahisa baada yakutangaza game za siku hiyo.
Good luck brother.
Hapo sasa..angekua anajua kujiongeza na zile raha na mzuka za main event kama wrestlemania..survivor series nayo inakuja,zile bifu za akina Sasha na Bayley,huku viper na mctyre uwiii
Movie kali za akina Jackie chan,Jason statham,unakuta channel ratiba inaonesha Leo ni fast&furious zote mfululizo halafu ni weekend...
Acha roho mbaya mkuu!Hauna mkono wa biashara, fanya kitu kingine, utashindwa! Biashara yaitaji mipango na uvumilivu, ni mapema sana!
Kama unataka biashara, tafuta namna nyingine ya kulipia hizo kwa miezi hata 3 then biashara itakaa sawa!
Biashara zote zinalipa, issue ni how long can you wait for that ili ikulipe? If u can wait utaifaidi.
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.
Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]
Pia jitahidi kuwafahamu mashabiki wa timu kubwa wenye ubishi na maneno nengi na kuwaweka karibu ikiwezekana kuwapa ofa ya kutazama game bure hapo kwako itakuongezea wateja wengi sana watu wengi huwa wanapenda majibizano wakati mechi zinaendelea na baada ya mechi kuisha.
Nakupongeza kwa kuthubutu, cha msingi ni uvumilivu baadae mambo yatakuwa sawa tuNi takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.
Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]
Hii teknik Ni nzuriKUNA SEHEMU NILIKUTA VIJANA WA CHUO WAMENUNUA SMART TV KWAAJILI YA KUONESHA MPIRA KWENYE KIBANDA UMIZA.
ILI KUEPUKA GHARAMA ZA DSTV WAO WANACHOKIFANYA NI KUTAFUTA CHANEL INAYOONYESHA MPIRA MTANDAONI KUPITIA SIMU KISHA WANAWASHA BLUETOOTH YA SIMU NA TV HIVYO MPIRA UNAONEKANA VIZURI TU KWENYE TV.
HAPO HATA MVUA IKINYESHA ZILE KERO ZA DISH KUSCRATCH HAZIPO LABDA MTANDAO TU ULETE SHIDA.
Shida ya Bongo network mkuuKUNA SEHEMU NILIKUTA VIJANA WA CHUO WAMENUNUA SMART TV KWAAJILI YA KUONESHA MPIRA KWENYE KIBANDA UMIZA.
ILI KUEPUKA GHARAMA ZA DSTV WAO WANACHOKIFANYA NI KUTAFUTA CHANEL INAYOONYESHA MPIRA MTANDAONI KUPITIA SIMU KISHA WANAWASHA BLUETOOTH YA SIMU NA TV HIVYO MPIRA UNAONEKANA VIZURI TU KWENYE TV.
HAPO HATA MVUA IKINYESHA ZILE KERO ZA DISH KUSCRATCH HAZIPO LABDA MTANDAO TU ULETE SHIDA.
Yupo kijiji? Je watu wa kijiji wanajua kuhusu WWE?Kuna channel za muvi kali,Kuna channel za wwe za mieleka ya akina roman reign.je ukjiongeza hapo kuna tatizo.?
Au hivo vibanda ni kwa ajili ya Mpira tu?