Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

-Sirecommend kukimbia mara kwa mara kama una lengo la kutaka kujaza mwili, ile siku moja ya kupumzika itumie kwa kukimbia.

-Push ups ni nzuri in fact baadhi ya watu wakimaliza kufanya pull ups hupiga push ups kwanza (kwa beginner ni nzuri zaidi itampa nguvu za mikono).

-Squats ni lazima ili kubalansi mwili, lakini hatuchanganyi mazoezi na kupelekea kutengeneza kachumbari squats ni zoezi la miguu ina siku yake.

-Kuruka kamba ni aina ya cardio, siyo mbaya kuruka kwa kua ni aina ya warm up kabla haujaanza workout yako.

-Kwa mtu anayeanza na anakula ipasavyo, anakunywa maji ipasavyo na kupumzika ipasavyo matokeo ni ndani ya wiki sita. Ila pia kuna factors kama genetics na ubora wa chakula kati ya mtu na mtu.

Mkuu tuwekee vyakula ratiba ya chakula kizuri!
 
Kuna uzi mmoja hivi kuna mdau alitoa jibu ngoja niucheki nikupe jibu.
Ntakushukuru mkuu. Ni vema tukajua mpangilio wa vyakula hasa kwa sisi tunaoanza kufanya mazoez!
 
Post ya jibu ipo mbali sana, sijaona.

Ila ni hivi, ile balanced diet tuliyofundishwa ndiyo hiyo hiyo. Isipokua intake yako iwe kubwa kuliko ambaye hafanyi mazoezi.

Mfano, asubuhi hua nakunywa uji wa ulezi uliochanganywa na peanut butter. Breakfast hua ni kati ya mkate wa supa loaf, maandazi, chapati, kalmati n.k. ila nikila chochote kati ya hivyo hua nakula na ndizi (3) nikila chapati hua nakula na supu sili ndizi.

Mchana hua unanikuta nikiganga njaa, hua nakula kwa mama ntilie wali/ ugali/ ndizi n.k.

Usiku mara nyingi ni tambi, ugali samaki.

Pia unaweza kumodify msosi wako kadri mfuko unavyoruhusu.

Usisahau maji kwa wingi na kupumzika.
 
Asante sana mkuu! Mimi mara nyingi napata supu ya mbuzi asubuhi.harafu nashushia na soda. Mchana mara nyingi napenda ugali wa dona,either nyama,dagaa,samaki, harafu na maziwa mgando. Usiku huwa napenda kula wali na sahani kubwa ya matunda! Milo zote huwa nakunywa maji ya kutosh!
 
Soda siyo deal, ichekeche bosi.
 
Mkuu shukran kwa uzi makini, Je kwa sisi ambao tunapiga locally (I mean siyo kwenye gym) kiutaratibu inatakiwa tuanze zoezi gani tumalize na zoezi lipi?
Mf. Binafsi huanza kwa kukimbia raundi 5 ktk uwanja wa mchanga hapa taifa indoor kisha hufanya squats kadhaa kama 20 hivi, then viroba kadhaa (sidhani km ni jina rasmi) kisha nikimaliza hapo naingia push ups ambapo hapa huwa napiga push ups km 100 hivi za style tofauti tofauti kisha humaliza kwa kufanya worm ups ya kuruka ruka ili kuupooza mwili kutokana na push ups na hapo ndo humaliza zoezi kwa routine hiyo kila siku.

Je, una nishauri nini kwa hii routine mkuu?
 
Kila mfanya mazoezi hua ana lengo lake.

Mwingine anatafuta pumzi. Mwingine kuukata mwili, mwingine kujiweka fit conditionally.

Kwa aina ya mazoezi uliyotaja naona ni unajiweka kiukakamavu.

Nashauri kunywa maji mengi, pumzika, fanya mazoezi yako kwa kujichallenge mfano ukikimbia leo na kesho raundi tano kesho kutwa na mtondogoo kimbia raundi saba. Siku mbili zinazofuata kimbia raundi tisa. Pia unaongeza na idadi ya squats.

Cheki hapa pia

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
 
Sikuwahi kufanya mazoezi yakunyanyua vyuma siku zanyuma, nilkua nafanya mazoezi ya viungo tu nyumbani. Naweza kupiga push zakawida 105. Mwez wapili niliamua kuingia gym baada ya kama week nikaanza kuskia maumivu bega lakulia. Nnaweek ya pili sasa nayasikia, sio makali sana ila napata hofu kma naweza kuendelea au niache??
Nilishawai kuitwist ankle 2017 mpaka leo naskia maumivu kwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu acha tumsubirie Mtalam Castr aje atolee ufafanuzi hilo suala

Ila nadhani inabidi u quit kwanza Zoezi maana tayari kuna dosari hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kufanya mazoezi yakunyanyua vyuma siku zanyuma, nilkua nafanya mazoezi ya viungo tu nyumbani. Naweza kupiga push zakawida 105. Mwez wapili niliamua kuingia gym baada ya kama week nikaanza kuskia maumivu bega lakulia. Nnaweek ya pili sasa nayasikia, sio makali sana ila napata hofu kma naweza kuendelea au niache??
Nilishawai kuitwist ankle 2017 mpaka leo naskia maumivu kwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu yako hayakua yakikukuta wakati unapiga push ups?
 
Back
Top Bottom