Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania.

Nataka nipate week moja nzima tunajadili kwa kina na kupeana semina elekezi. Ni mmoja ya wanawake wenye maumbo mazuri sana nchini Tanzania.

Halafu nitawaambia wasadizi wangu wawalete wengine wa aina yake kama 9 hivi kila mmoja nakaa naye kwa siku mbili kujaribu kuangalia mapendekezo yao tuwasaidiaje.

Baada ya hapo ntahamia kwa Milfs kadhaa ambao nao ntapata nao muda angalau wa 24 hours tujadiline matatizo wanayopitia wanawake vijijini na mijini. Hawa watakuwa kama samples tu.

Then sasa ndo ntaanza kazi ya kuwasaidia. Matatizo ya wanaume nayafaham hayo hayahitaji mimi kukutana nao ofisini.sababu nami nimeyapitia.

Nitahakikisha wanawake wenye maumbo namba 8 wanakutana nami kila mmoja wao aniambie anapitia changamoto gani. Ili kuwaondolea kero wanazokutana nazo mitaani.

Ntawasaidia sana wanawake ambao naona ni kama wamekuwa hawapewi kipaumbele. Na waliomo JF pia ntaangalia wapi naweza wasikiliza. Ntataka wanitumie picha zao wakielezea changamoto zao.niangalie nani anafaa kuwa mwakilishi wa wenzie.

Siku hiyo inakuja msisite kunipa kura zenu wanawake.siku zote mmekuwa chini sasa nataka nanyi muwe juu.
 
Back
Top Bottom