Yupo sema hatujasema tu,,,Hata me sijaona sijui hawapo
Nikiitaja shule hapa kuna watu watanifahamu humuYupo sema hatujasema tu,,,
We sema umesoma wapi uone kam hawapo
Kwa jina lengine miembe saba?Mimi nakumbuka ilikuwa shule ya Sokondari Bagamoyo enzi hizo ilikuwa ni day and boarding school. Wasichana na baadhi ya wavulana wachache sana walikuwa day walikuwa hawafiki hata mia kwa ujumla wao nikakuta vijana wanaita Bagamoyo Boys High School wakati kuna wadada, nilipo fuatilia sababu nikaambiwa wale wadada walikuwa na sura kama za wavulana. Isingekuwa sketi zile zenye rangi nyekundu mtu angedhani wote ni boys kweli!