Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

Hebu hadithia vizuri ueleweke bwana.
Ha ha ha ha uzur nilikuwa mwenyeji wa hilo eneo naingia form V fresh tu madogo wakaja kunipokea na kunipeleka dom letu baada ya hapo maisha fresh tu jumatatu jumatano jumamos usiku siku za wali alhamis mchana siku ya nyama hapo ndio kimbembe.
 
Haha basi nilivyosoma comment yako nikajua umesoma zile za kishua hizi za siku hizi. Mimi dada yangu amesoma early 80s shule ya serikali na wamesoma bure mkuu yaani hadi usafiri walikuwa wanagharamiwa
Secondari nilisoma shule ya serikali wakati huo Private zilikuwa kiduchu. Naongelea late sixties and early seventies. Halafu sisi tulikuwa watoto wa wakulima maskini tusingeweza kumudu hizo shule.
 
Hahahahaaaaaa!! Kaka shemeji kama nakuona ulivyolalia chaga.
nlikuwa nimeriport form one. Baaada ya kufanya registration baada yakumaliza naelekea bwenini kuna jamaaa mmoja akaja kunipokea. Akabeba godoro. Akakunja kona sijui akaingilia wapi. Akapotea na godoro.

Baada ya kuzoea nkaja kujua lile godoro alienda kuuza mtaaan bei ya kutupwa.

Governement schools zina tabu na raha yake saana
 
Haha basi nilivyosoma comment yako nikajua umesoma zile za kishua hizi za siku hizi. Mimi dada yangu amesoma early 80s shule ya serikali na wamesoma bure mkuu yaani hadi usafiri walikuwa wanagharamiwa
Kila kitu bure. Toilet papers, Modes, pen, kalamu, daftari ila uniform tulikuwa tunachangia kidogo ingawa kwa uwezo wa wazazi wetu kilikuwa kingi. Mpaka chupi to Cyprus tuliletewa kama mara mbili. Tulikuwa tunakula nyama kila siku jioni isipokuwa Ijumaa tulipewa samaki tilapia nusu. Wali kila siku jioni. Usione hawa wasomi wanatuangusha ila walipata elimu nzuri sasa wenyewe wanazalisha vilaza.
 
Nitakutumia ile sumu ya warusi. Hahaha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ebu niache kwanza nizisome namba za Anko Magu nizielewe vizuri
 
Nilipoingia form five pale ilboru maisha yalikua POA Sana sikuhisi utafauti Sana kwa sababu nilikua mpenzi Sana maharagwe niliona poa tu, sema hata ivo msosi was shuleni ulikua POA tu maana mchana Kama kawa ugali haragwe usiku Kila siku ubwabwa na haragwe , week end kitu Cha pilau , wazee wa kitei wanakumbuka Sana christopher cirilo , pongezi ziende kwa mzee kwayu best headmaster to me kwa kwel.
 
Aisee hii ratiba ya wali kila siku ilikuwa ilikuwa mwaka gani.? Maana enzi za kitemango wali ilikuwa unatafutwa kwa tochi, na mkifanya mchezo huo wali wenyewe mnakopwa.
 
Back
Top Bottom