Ha ha ha ha uzur nilikuwa mwenyeji wa hilo eneo naingia form V fresh tu madogo wakaja kunipokea na kunipeleka dom letu baada ya hapo maisha fresh tu jumatatu jumatano jumamos usiku siku za wali alhamis mchana siku ya nyama hapo ndio kimbembe.
Haha hivi unafikiri nakutania?Wewe acha mambo yako usome na nani? Enzi hizo mimi niko advance we wanakupangusa kamasi
Secondari nilisoma shule ya serikali wakati huo Private zilikuwa kiduchu. Naongelea late sixties and early seventies. Halafu sisi tulikuwa watoto wa wakulima maskini tusingeweza kumudu hizo shule.
Hata sikumbuki.
Kweli hunitanii. Darasa letu la form five tulikuwa watu hamsini wote nawajua kama nimewazaaHaha hivi unafikiri nakutania?
Kweli hunitanii. Darasa letu la form five tulikuwa watu hamsini wote nawajua kama nimewazaa
nlikuwa nimeriport form one. Baaada ya kufanya registration baada yakumaliza naelekea bwenini kuna jamaaa mmoja akaja kunipokea. Akabeba godoro. Akakunja kona sijui akaingilia wapi. Akapotea na godoro.
Baada ya kuzoea nkaja kujua lile godoro alienda kuuza mtaaan bei ya kutupwa.
Governement schools zina tabu na raha yake saana
Kila kitu bure. Toilet papers, Modes, pen, kalamu, daftari ila uniform tulikuwa tunachangia kidogo ingawa kwa uwezo wa wazazi wetu kilikuwa kingi. Mpaka chupi to Cyprus tuliletewa kama mara mbili. Tulikuwa tunakula nyama kila siku jioni isipokuwa Ijumaa tulipewa samaki tilapia nusu. Wali kila siku jioni. Usione hawa wasomi wanatuangusha ila walipata elimu nzuri sasa wenyewe wanazalisha vilaza.Haha basi nilivyosoma comment yako nikajua umesoma zile za kishua hizi za siku hizi. Mimi dada yangu amesoma early 80s shule ya serikali na wamesoma bure mkuu yaani hadi usafiri walikuwa wanagharamiwa
Wote walikutana washamba. Saaa boarding mbovu unaanzaje kua bishoo? Usela mbuzi wa kunyang'anya chakula si maisha ya hunters and gatherers hayo?Watu wa mkoa si sawa na wanaume wa Dar.....kipimo ndiyo hiki mkuu.
Haha darasani kwetu kweli tulikuwa na Heaven Sent ila alikuwa mkimya sana hakuwa na furugu ka mtu fulaniMe nasemea la o-level bana, aah kumbe ile ilikuwa private
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nitakutumia ile sumu ya warusi. Hahaha.
Haha darasani kwetu kweli tulikuwa na Heaven Sent ila alikuwa mkimya sana hakuwa na furugu ka mtu fulani
Sawa bana uzee mwisho ChalinzeKumbe je
Haha huna loloteHahahaha ndo mimi mimi, huku nafake tu ukorofi kidogo. Ila bado ni mpoleee
Lini Graduation au tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ebu niache kwanza nizisome namba za Anko Magu nizielewe vizuri
Sawa ukinywa chai utakumbukaHata sikumbuki.
Sawa ukinywa chai utakumbuka
Utakumbukaje mambo ya mwaka 1980s huko
Nilipoingia form five pale ilboru maisha yalikua POA Sana sikuhisi utafauti Sana kwa sababu nilikua mpenzi Sana maharagwe niliona poa tu, sema hata ivo msosi was shuleni ulikua POA tu maana mchana Kama kawa ugali haragwe usiku Kila siku ubwabwa na haragwe , week end kitu Cha pilau , wazee wa kitei wanakumbuka Sana christopher cirilo , pongezi ziende kwa mzee kwayu best headmaster to me kwa kwel.