sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mega hitsong ya Juma Nature ni inaniuma sana.
Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta.
Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni Sinta akipelekwa kwa Juma Nature na mwanadada nguli wa utangazaji Dida shaibu.
Dida na Sinta walikuwa marafiki sana wakati huo wakisoma pamoja pale Ilala.
Na Sinta alikuwa anamuelewa Nature akamfata kwao kurasini akidangaya rafiki zake yeye ni demu wa Nature ila hatimaye wakaingia kwenye mahusiano.
Pumzika kwa amani Dida Shaibu.
Mwanadada mwenye kipaji cha pekee cha utangazaji wa uswazi lifestyle, eneo hilo hakuna wa kuziba pengo lako.
Soma Pia: Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia