Wee sie wabongo siasa ata kwenye kitu kipo so obviouswatanzania mnatakiwa kuokoka. ukweli ni kwamba, kati ya wadada walikuwa wanakwaza hata kutazama kwa sababu ya tabia mbaya, ni huyo mdada. alikuwa mfano mbaya kwa watoto wa kike, laiti kama angeokoka kabla kifo hakijamkuta, kwa sababu Mungu bado alikuwa anampenda.