Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Huu wimbo naujua toka kitambo,umetoka nikiwa sekondaryJina lako nilikuwa nadhani ni mkubwa kumbe hata huu Wimbo huujui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wimbo naujua toka kitambo,umetoka nikiwa sekondaryJina lako nilikuwa nadhani ni mkubwa kumbe hata huu Wimbo huujui?
ongelea na Kiroboto pia...Sinta ameshakuwa mmama ule urembo wake umeisha
Hata mimi nimemshangaa jamaa. Lakini pia nimejiuliza imekuwaje huyu manzi akakosa kazi ya maana huku kasoma?Kwa nini ashindwe mmiliki Sinta ni wakaida tu anafanya kazi hospital ya wahindi askutishe hana life hiyooo
Na kwenye siasa nako ndo balaa.Mtoto wa like ukitaka kuwa maarufu eidha kupitia muziki, au Fulani, lazima sehemu zako za siri zichezewe sana na mwanaume walafi.
Pole sana Mjukuu wangu, usiache kutumia njia za asili za kukukinga na mimba na maambukizi mbalimbali ya magonjwaNa kwenye siasa nako ndo balaa.
Hadi kesho kutwa watakaondelea kuisimamisha nchi ni wenye sura nzuri kama Sinta. Tako ni kwa ajili ya short term plans. Ila sura ni long term. Wanawake wengi wenye mizigo huwa hawafiki mbali. Si unaona Sinta na Kidoti bado wamo?Saifee hospital😂
Sema watu wa zamani walikua hawajali kabisa kuhusu tako. Sinta hana tako kabisa Ila aliisimamisha nchi. Nchi nzima mzuri anaonekana yeye😂😂
Siku hizi bila kuwa na mzigo kama wa poshy queen Hakuna mtu atakuzingatia
😂😂😅Jf mmeanza
Miaka 20 hiyo2002?? Inaniuma sana hauwezi kuwa wimbo wa 2002
Labda 2004
Women age like milkongelea na Kiroboto pia...
Both sides to score
Hata sura sio kivile, ni sababu zamani kuonekana kwenye tv ilikuwa big dealHadi kesho kutwa watakaondelea kuisimamisha nchi ni wenye sura nzuri kama Sinta. Tako ni kwa ajili ya short term plans. Ila sura ni long term. Wanawake wengi wenye mizigo huwa hawafiki mbali. Si unaona Sinta na Kidoti bado wamo?
😂😂Zamani ukiwa na karangi ka mtume,mwanya au dimple wewe ni balaa...ila mabazazi wa siku hi-i mmmmmh
Ingia gugo andika sinta picha zake zitakuja, wa kawaida tu Ila zamani mtu kuonekana kwenye tv ndio ilikua big dealAisee ebu wekeni picha ya huyo sinta wa enzi hizo tuone alikuwa mzuri kiaje sio mnatupiga mafix tuu hapa
Siku hizi tako kwanza, sura utapigwa doggy style
Acha kujipa moyo. Sinta ni mwanamke mwenye sura nzuri sana. Hiyo zamani ndo alikuwa hatari kwa sababu ya umri. Kama kwenye 20s hujawahi sifiwa una sura nzuri basi sahau kusifiwaHata sura sio kivile, ni sababu zamani kuonekana kwenye tv ilikuwa big deal
binafsi sio kwamba nahukumu, ila kuna watu ningepata nafasi kuonana nao au kama wapo humu, huwa nawaambia hata mabinti zangu kwamba hao ni mfano mbaya kabisa wa kuigwa. SEPENGA, mobeto, zari, antiezekieli, uwoya na bongo movie yote, hawa, wanamhitaji Mungu, waokoke waokoke, andaeni maisha yenu ya baadaye, where will you spend your eternity ndio iwe kitu cha kufikiri, maisha ya dunia hii yanapita, ila kule unakoenda ni kwa milele, aidha milele motoni au milele uzimani. uchaguzi ni wako.
Aisee ebu wekeni picha ya huyo sinta wa enzi hizo tuone alikuwa mzuri kiaje sio mnatupiga mafix tuu hapa
Siku hizi tako kwanza, sura utapigwa doggy style
Sijasema mbaya, Ila sio mzuri kihivyoAcha kujipa moyo. Sinta ni mwanamke mwenye sura nzuri sana. Hiyo zamani ndo alikuwa hatari kwa sababu ya umri. Kama kwenye 20s hujawahi sifiwa una sura nzuri basi sahau kusifiwa
Wanaponda sana mabinti wa 1990's eti mishangazi...😃😃Niliona mahojiano yake juzi kati hapa, bado yuko msupu, ila sasa humu wameshamponda alivyochoka