Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta.
Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni Sinta akipelekwa kwa Juma Nature na mwanadada nguli wa utangazaji Dida shaibu.
Dida na Sinta walikuwa marafiki sana wakati huo wakisoma pamoja pale Ilala.
Na Sinta alikuwa anamuelewa Nature akamfata kwao kurasini akidangaya rafiki zake yeye ni demu wa Nature ila hatimaye wakaingia kwenye mahusiano.
Pumzika kwa amani Dida Shaibu.
Mwanadada mwenye kipaji cha pekee cha utangazaji wa uswazi lifestyle, eneo hilo hakuna wa kuziba pengo lako.
Aliyeenda kugonga mlango alikuwa ni Swebe Santana Montana Nunda.
Walikuwa kama wanne hivi kwenye gari aina ya Chaser.
"Nature, Nature kuna mtu anakuhitaji hebu toka umuone."
kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina, ambaye alisoma dsj chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli.
kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina,
ambaye alisoma dsj chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli..

"Hila swala kubwa ni lako mama, usimsingizie Nina"
Nadhani katika hao watu wanne mmoja wapo alikuwa Nina ambaye alikuwa na urafiki na Sinta pia.
Maana kaole wakati ule visu walikuwa Sinta, Nina, Norah.
Usimsahau Swebe pia naye alichangia sana kuunganisha Nature na Sinta
Swebe na Sinta wote walikuwa wasanii wa Kaole Sanaa Group
Hapa Nature anamtaja Swebe kwa maneno haya kwenye wimbo wa inaniuma sana:
Akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye mlango wa gheto, nature nature kuna mtu anakuhitaji, embu toka umuone, juma huyu hapa, sasa ongea nae muelewane, muende mkajichane.
Tina ni kifupi cha Christina Manongi a mbae ndo huyo huyo Sintah# kwasasa naona wote wawili wanaishi kwenye dunia tofauti kabsa, sioni kama Nature anaweza kummiliki Sintah tena
kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina,
ambaye alisoma dsj chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli..
Tina ni kifupi cha Christina Manongi a mbae ndo huyo huyo Sintah# kwasasa naona wote wawili wanaishi kwenye dunia tofauti kabsa, sioni kama Nature anaweza kummiliki Sintah tena
kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina,
ambaye alisoma dsj chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli..
"Hila swala kubwa ni lako mama, usimsingizie Nina"
Nadhani katika hao watu wanne mmoja wapo alikuwa Nina ambaye alikuwa na urafiki na Sinta pia.
Maana kaole wakati ule visu walikuwa Sinta, Nina, Norah.
Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta.
Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni Sinta akipelekwa kwa Juma Nature na mwanadada nguli wa utangazaji Dida shaibu.
Dida na Sinta walikuwa marafiki sana wakati huo wakisoma pamoja pale ilala.